Atolewa mswaki tumboni Mombasa watu wahoji umeingiaje tumboni


Madaktari katika Hospitali Kuu ya Mkoa ya Pwani (CPGH) mjini Mombasa, Kenya wamefanikiwa kuutoa mswaki ambao ulikuwa umekwama tumboni mwa mwanamume mmoja kwa siku sita.

TAZAMA VIDEO HAPO CHINI 






SUBSCRIBE OUR YOUTUBE CHANEL KUPATA UPADATE PUNDE ZITUFIKIAPO

Post a Comment

0 Comments